Website counter
Free Web Hosting

Server ya Malaria Sugu inaonyesha Leo ni: Wednesday, May 23rd 2018.

Home Picha Nafasi za Masomo na Kazi Habari Siasa Michezo na Burdani Niandike Email: sugumalaria@gmail.com Imeanzishwa 17/8/2011

AMANI NA UTULIVU NDIO MSINGI WA MAENDELEO

CHANGIE MIJADALA MBALI MBALI KWA MANUFAA YA TAIFA..

http://malariasugu.websitetoolbox.comFORUM KUBWA NA YA KISASA INATEGEMEA KUWEPO HEWANI HIVI KARIBUNI .

JIANDAE KUSHIRIKI MIJADALA NA . WATU MASHUHURI DUNIANI

 

KWA TAARIFA ZA UHAKIKA PATA NAKALA YAKO YA GAZETI LA MWANANCHI KILA SIKU

 

 

 

 

TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA
Magazeti Yetu
Kutoka Mitandao Mengine
Vyuo Vikuu
 

 

Waliochaguliwa kujiunga na Masomo Vyuo vikuu mbali mbali nchini 2011/2012

 
 
 
 

 

 

 

 

 

Bishop Thomas Laizer wa Dayosisi ya Mkoani Arusha akiteta jambo na katibu mkuu wa Chadema Dk Slaa.

jee huu mnongono ni wa kuimarisha chama?

 

Mdahalo wa Itaikadi ya vyama vya siasa na Tanzania Uliorushwa na Star Tv. Maoni ya Wananchi

Nape 55%, Jussa 30% ,Marando15%

Utafiti uliofanya siku mbili baada ya kufanyika mdahalo wa kuvuta nikivute uliowashirikisha wawakilishi wa vyma vitatu vyenye nguvu nchini, umeiangusha sana Chadema hasa katika swala zima la kujibu hoja na kuzungumzia sera za Chama Chao.

Licha ya Chadema kumtumia mkongwe wa siasa nchini. lakini kilijikuta kikipata dharuba ya hoja kutoka kwa Kijana Nape na Jussa huku Marando akitupwa kwa mbali.

Itikadi ya Chadema yamtesa Marando
Kwa upande wake, mambo yalimwendea kombo Marando baada ya kushindwa kubainisha kwa ufasaha itikadi ya chama chake na kubakia kutetea falsafa ya nguvu ya umma.

“Katiba ya Chadema inasema, falsafa ya nguvu ya umma… umma ndiyo mwanzo na mwisho katika kuamua mambo yao. Umma ndiyo wenye mamlaka ya kujiamulia mambo yao kupitia uchaguzi ulio huru na wa haki,” alisema Marando kabla ya kulimwa swali na mwendeshaji wa kipindi hicho, Rosemary Mwakitwange kuhusu itikadi yao hasa kati ya ujamaa, ubepari na uliberali.

Marando alijibu kuwa Chadema inafanya mambo yake kimatendo: “Chadema hatufikirii tu, tunafanya kiutendaji, tukipata Serikali tutaweka viongozi imara. Nguvu ya umma itaondoa viongozi wabovu, mfano wabunge wetu wanafanya kazi na Watanzania wanaiona.”

 

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM), Jakaya Kikwete amesema wapinzani hawamnyimi usingizi kwa kuwa ana uhakika kuwa chama hicho kitashinda katika uchaguzi mkuu ujao mwakani.
Rais amesema, jambo la kujiuliza sasa si kama CCM itashinda au vipi, ila watashinda kwa kiasi gani.
Sifahamu vyama vya upinzani vimeitafsiri vipi kauli hii ila nina uhakika imewaumiza hata kama hawasemi.
Kwa kuwa lengo la chama chochote cha siasa ni kushika dola, kauli ya JK ina maana kwamba, wapinzani bado wapo wapo sana

 

 

 

WAFUASI wa CUF

 

Japanese Foreign MinisterMr. Okada and Mr. Membe


 

 

Copyright © 2011 Malaria Sugu. All rights reserved.